Nia Lab eLearning (https://nia.tz) Terms of Service and Privacy Policy
Last updated: February 2024
1. Introduction
Welcome to our eLearning platform. By using our platform, you agree to the following terms and conditions:
2. Membership
2.1 You must be at least 18 years old to register on our platform.
2.2 Provide accurate personal information during registration
3. Payments
3.1 Pay the required fee for access to our services.
3.2 All fees are nonrefundable and unrelated to any other payments.
3.3 Pay fees on time to maintain access to our services.
4. Security
4.1 Keep your username and password secure. Do not share them with others.
4.2 Notify us immediately if you believe your username and password have been compromised.
5. Copyright
5.1 Platform content, including learning materials, is unique to our platform and owned by us or our licensors.
5.2 Use platform content for personal purposes only. Commercial use requires written permission.
6. Termination
6.1 We may terminate our services without notice or reason.
6.2 You may terminate our services by deleting your account.
7. Amendments to Terms and Conditions
7.1 We may change these terms and conditions at any time.
7.2 Review these terms regularly to ensure agreement.
8. Conflict Resolution
8.1 Contact us first to resolve any service related conflicts.
8.2 Unresolved conflicts will be resolved according to Tanzanian law.
Privacy Policy
1. Data Collection
We collect personal data during registration to identify users and manage course access.
2. Data Use
Data is used solely for providing access to purchased courses and not shared without consent.
3. Third-party Services
Our platform relies on third-party hosting and payment services. We are not responsible for their availability.
4. Liability
We are responsible for course content but not third-party service availability.
5. Amendments to Privacy Policy
Changes to the Privacy Policy will be communicated promptly.
6. Contact Information
For questions or concerns, contact us at [email protected]
7. Age Requirement
Users must be 18 or older to use the platform. Users under 18 require parental consent.
8. Refund Policy
No refunds are provided for courses.
9. Platform Accessibility
Access the platform at https://nia.tz
10. Course Content Copyright
Respect intellectual property rights. Course content is copyrighted.
11. Course Access Duration
Access to enrolled courses is valid for one year.
12. Removal of Free Courses
Free courses may be removed without notice.
Nia Lab eLearning (https://nia.tz) Terms of Service and Privacy Policy
Taarifa ya mwisho: 10 Februari 2024
1. Utangulizi
Karibu kwenye jukwaa letu la elearning. Kwa kutumia jukwaa letu, unakubaliana na vigezo na masharti yafuatayo:
2. Uanachama
2.1 Lazima uwe na umri wa angalau miaka 18 kujiandikisha kwenye jukwaa letu.
2.2 Toa maelezo sahihi ya kibinafsi wakati wa usajili.
3. Malipo
3.1 Lipa ada inayohitajika kupata upatikanaji wa huduma zetu.
3.2 Ada zote ni za kipekee, hazirudishwi na hazihusiani na malipo mengine yoyote.
3.3 Lipa ada kwa wakati ili kudumisha upatikanaji wa huduma zetu.
4. Usalama
4.1 Weka jina lako la mtumiaji na nenosiri salama. Usimpe mtu mtumiaji mwingine.
4.2 Tuarifu mara moja ikiwa unadhani jina lako la mtumiaji na nenosiri vimejulikana kwa wengine.
5. Hakimiliki
5.1 Yaliyomo kwenye jukwaa letu ni ya kipekee na ni mali yetu au washirika wetu.
5.2 Tumia yaliyomo kwa madhumuni ya kibinafsi tu. Matumizi ya biashara yanahitaji idhini ya maandishi.
6. Kusitisha
6.1 Tunaweza kusitisha huduma zetu bila taarifa au sababu.
6.2 Unaweza kusitisha huduma kwa kufuta akaunti yako.
7. Marekebisho ya Masharti na Vigezo
7.1 Tunaweza kubadilisha masharti haya wakati wowote.
7.2 Angalia mara kwa mara ili kuhakikisha unaelewa na kukubaliana nayo.
8. Utatuzi wa Migogoro
8.1 Wasiliana nasi kwanza kutatua migogoro.
8.2 Migogoro isiyopatiwa suluhisho itashughulikiwa kulingana na sheria za Tanzania.
Sera ya Faragha
1. Ukusanyaji wa Data
Tunakusanya data ya kibinafsi wakati wa usajili kwa madhumuni ya kumtambua mtumiaji na kusimamia upatikanaji wa kozi.
2. Matumizi ya Data
Data hutumiwa tu kutoa upatikanaji wa kozi zilizonunuliwa na haishirikishwi bila idhini.
3. Huduma za Watu Wengine (washarika wetu)
Jukwaa letu linategemea huduma za hosting na malipo kutoka kwa watu wengine. Hatuhusiki kwa upatikanaji wao.
4. Uwajibikaji
Tunasimamia yaliyomo katika kozi, lakini si upatikanaji wa huduma za watu wengine. Tutajitahidi kuhakikisha jukwaa linapatikana wakati wote.
5. Marekebisho ya Sera ya Faragha
Mabadiliko kwa Sera ya Faragha yatawasilishwa kwa watumiaji kwa wakati.
6. Taarifa za Mawasiliano
Kwa maswali au dukuduku, wasiliana nasi kupitia barua pepe [email protected]
7. Mahitaji ya Umri
Watumiaji lazima wawe na umri wa miaka 18 au zaidi. Watumiaji chini ya umri huo wanahitaji idhini ya mzazi.
8. Sera ya Kurudishiwa Fedha
Hakuna kurudishiwa fedha kwa kozi.
9. Upatikanaji wa Jukwaa (nia.tz)
Pata upatikanaji kwenye jukwaa letu kwa https://nia.tz
10. Hakimiliki ya Yaliyomo ya Kozi
Heshimu haki miliki! Yaliyomo kwenye kozi ni ya hakimiliki.
11. Muda wa Kupata Kozi
Upatikanaji wa kozi ulizojiandikisha ni kwa mwaka mmoja.
12. Kuondoa Kozi za Bure
Kozi za bure zinaweza kuondolewa bila taarifa.