Skip to main content

Jifunze Python (na Flask)

NiaLab

Kozi hii imekusudiwa kukupa ujuzi na utaalamu wa vitendo wa kutengeneza programu kwa kutumia "Python" na "Flask." 👍

Utajifunza hatua kwa hatua, kuanzia misingi ya kuandika "code" hadi kutengeneza tovuti kamili zinazounganishwa na "database" ya kweli.

Utaweza kupata uzoefu wa moja kwa moja katika Object-Oriented Programming (OOP), kufanya operesheni za CRUD, kusimamia data kwa kutumia SQL, na kujenga mifumo ya mawasiliano kati ya "client" na "server"

Mwisho wa kozi hii utaweza kutengeneza mwenyewe programu kwa kutumia Python. 

Masharti ya kujiunga

  • Hakuna ujuzi wa awali wa programu unaohitajika
  • Inafaa kabisa kwa wanaoanza
  • Ujuzi wa kutumia kompyuta katika shughuli za kila siku. 

 

Utakayojifunza

  • Lugha ya Python
  • Kazi (functions) na Object-Oriented Programming (OOP)
  • Kuunganisha Python na "database" ya SQL (Relational)
  • Kufanya operesheni za CRUD
  • Kutengeneza website kwa kutumia Flask

Course Summary

  1. Course Number

    NL101
  2. Classes Start

    Available now
  3. Price

    TZS20000
Enroll