Enroll Now
Classes Start
Kozi hii inalenga kufundisha wanafunzi jinsi ya ketengeneza website na webpages za website kwa kutumia HTML (Hypertext Markup Language) na CSS (Cascading Style Sheets). Wanafunzi watapata ujuzi wa msingi na maarifa ya kina ya jinsi ya kutumia HTML na CSS kutengeneza website zenye muundo mzuri na design ya kuvutia.
Requirements
Hakuna ujuzi wa awali unaohitajika kabla ya kuanza kozi hii. Kozi hii imeundwa kwa wanafunzi ambao wanataka kujifunza web development kutoka mwanzo kabisa. Hata hivyo, uelewa wa kawaida wa kompyuta na internet unahitajika.
Utajifunza haya kwa vitendo, hatua kwa hatua
- Introduction to Web Development - Website ni nini
- Introduction to HTML - HTML ni nini
- HTML Images
- HTML Links
- Advanced HTML
- CSS basics - Jinsi ya kupodoa page yako
- Advanced CSS
- Project - Kwenye hii project utatengeneza website kamilifu
- Hosting - Utaiweka website yako Duniani kila mmoja aione